Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Juni, 2023

UTANGULIZI

Ametakasika Mwenyenzi Mungu M'bora wa kuumba,ambae kanijaza nuru na nguvu ya kuandika kitabu hiki kitukufu. Nimeandika kitabu hiki kitukufu kwa mwongozo wake na ruhusa yake muumba. Amenituma na kweli yake hii ku watu wote ili wapate kua yakini na uzima wake. Kukosa yakini ndio kunao fanya watu wadidimie katika ukafiri na unafiki. Ujumbe huu umejenga imani ndani ya nyoyo za watu,maana huondoa mashaka. Ujumbe huu umefunua yaliyo funikwa muda mrefu, ambae makafiri hawakua na zingatia. Umejibu ma shawahali mengi kuhusu uzima wa Mungu,na kuhusu kweli yake. Na mafunzo kuhusu ulimwengu na walimwengu,na mengi zaidi...  Na kitabu hiki kina fundisha dini,na kuamrishana mema na kukatazana mabaya.. Ni nuru kubwa ambae huangazia mbingu na dunia,inayo  leta wokovu,kwa watu wote., mwongozo kutoka kwa Mungu.

MWANDISHI WA KITABU:

Saleh " KALONDA " bin Ramazani, Amezaliwa katika muji wa benye karingila/miabe,mtaa wa Nonda,tarafa la Kasongo, jimboni Maniema, katika jamuhuri ya kidemokrasia ya Kongo,Barani Afrika. Alifunuliwa na Mungu katika mwaka wa 1993(nuru1:1-8) Kitabu cha ukweli kina milango saba,kila mlango upo na sura sabini. Someni kitabu hiki kitukufu ili mupate kubarikiwa.

Kitabu cha ukweli - Mlango wa saba : "KAULI TUKUFU"

( 1 )  SIMAMIZI LA SHAADA 1. Ametakasika Mwenyenzi Mungu,mkarimu ,anaye nifanya kua simamizi la shaada yake. 2. Amenipatia ushaidi wa uzima wake ili  (watakaye amini) wapate kua yakini na uzima wa mola wao. 3.wengi miongoni mwa wasilimu walikua na toa shaada gizani pasipo kuzingatia bayana. 4. Na ndio maana wamemfananisha Mwenyenzi na kiumbe ,na wengine wametumia uwingi katika umungu. 5. Nimetumwa ili  kusilimusha makafiri na wanafiki, ambae humkanusha Mungu kwa wazi na kwa siri. 100 6.  Anaye jidai kumuamini Mungu bila kutambua (kama) umungu ni nini ,ni miongoni mwa wanafiki . 7. Ujumbe huu ni nuru  ambae hufumbua macho kuwaonesha waziwazi uzima wa Mola wao.  8. Atakaye amini ujumbe huu  atakua yakini  kwamba Mungu iko mzima . 9.  Hata kua tena miongoni mwa makafiri wala hâta kua tena miongoni mwa wanafiki. 10. Kuamini Mungu katika yakini kuna m...