UTANGULIZI
Ametakasika Mwenyenzi Mungu M'bora wa kuumba,ambae kanijaza nuru na nguvu ya kuandika kitabu hiki kitukufu.
Nimeandika kitabu hiki kitukufu kwa mwongozo wake na ruhusa yake muumba.
Amenituma na kweli yake hii ku watu wote ili wapate kua yakini na uzima wake.
Kukosa yakini ndio kunao fanya watu wadidimie katika ukafiri na unafiki.
Ujumbe huu umejenga imani ndani ya nyoyo za watu,maana huondoa mashaka.
Ujumbe huu umefunua yaliyo funikwa muda mrefu, ambae makafiri hawakua na zingatia.
Umejibu ma shawahali mengi kuhusu uzima wa Mungu,na kuhusu kweli yake.
Na mafunzo kuhusu ulimwengu na walimwengu,na mengi zaidi...
Na kitabu hiki kina fundisha dini,na kuamrishana mema na kukatazana mabaya..
Ni nuru kubwa ambae huangazia mbingu na dunia,inayo leta wokovu,kwa watu wote., mwongozo kutoka kwa Mungu.
Maoni
Chapisha Maoni