MWANDISHI WA KITABU:
Saleh " KALONDA " bin Ramazani,
Amezaliwa katika muji wa benye karingila/miabe,mtaa wa Nonda,tarafa la Kasongo, jimboni Maniema, katika jamuhuri ya kidemokrasia ya Kongo,Barani Afrika.
Alifunuliwa na Mungu katika mwaka wa 1993(nuru1:1-8)
Kitabu cha ukweli kina milango saba,kila mlango upo na sura sabini.
Someni kitabu hiki kitukufu ili mupate kubarikiwa.
Maoni
Chapisha Maoni